IBALA MORAVIAN KWAYA KUU - TAFAKARI
Автор: Best Hopes
Загружено: 2020-03-11
Просмотров: 19767
Ukiwa na akili zote utakubaliana na tafakari ya watu hawa wa MUNGU kuwa kila unachokiona katika mandhari za dunia hii kinakukumbusha juu ya MUUMBAJI wako.
Zaidi ya yote, MUNGU hupendezwa na hao wamwabuduo ( Sifa, Shukrani, Utukufu,Maombi) kwa roho na kweli.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: