BREAKING: Mwili wa Mtoto Umepatikana Zoezi la Kunyanyua Kivuko
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-09-24
Просмотров: 13960
BREAKING: ZOEZI LA KUNASUKA KIVUKO LINAENDELEA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili katika shughuli ya kunasua kivuko cha MV Nyerere zinazoendelea katika kisiwa cha ukara ukerewe baada ya kivuko hiko kuzama.
Majaliwa amesema kuwa kutokana na ajali hiyo kusababisha zaidi ya watu 190 kupoteza maisha na watanzania kuchangia fedha za rambirambi fedha hizo zitatumika kwaajili ya kukabidhiwa ndugu wa marehemu ya haziwezi kufanyiwa chochote.
http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/,
Suazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpublishers
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: