Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Mkristo Ni Mtu wa namna gani? | Mwal. Eliya Lsn 1, 200925

Автор: Mwalimu Eliya

Загружено: 2025-11-18

Просмотров: 24

Описание:

Je, Unaelewa NINI MAANA YA KUWA MKRISTO KIBIBLIA?

Si kila anayejiita MKRISTO ni MKRISTO wa kweli.
Si kila adhaaniwaye kuwa ni MKRISTO basi ni MKRISTO halisi.
Na hapo ndipo ninapotamani kufundisha na kutofautisha Mwamini na Mkristo.

Neno MKRISTO linatokana na neno KRISTO. Na Kristo ndiye Kiongozi wa Ukristo.
Kwa hiyo Mkristo inamaanisha ni mfuasi wa Krsito , ni mtu anayemfuata Kristo. Kwa hiyo kama sisi ni wakristo tunapaswa kumfuata kristo.

Ukisoma katika Matendo ya Mitume 11:26 utaona watu wanaotajwa kuwa ni WAKRISTO.

"hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia."
WAKRISTO ni wanafunzi wa Kristo. WAKRISTO ni watu wanaojifunza mafundisho ya Yesu Kristo.

Unapoutaja Ukristo unamtaja Kristo na unapojitambulisha kuwa wewe ni MKRISTO umemtambulisha Kristo.
Kama hutaki kuhubiriwa au kuhubiri juu ya kristo wewe ni mwongo wala wewe si MKRISTO.
Mkristo anafurahi kuhubiriwa na kumhubiri Kristo.

Mkristo wa kweli ni mtu aliyeweka imani na tumaini lake lote ndani ya utu wa Yesu kristo na kukubali ya kwamba alikufa msalabani kwa fidia ya dhambi zetu na akafufuka tena siku ya tatu kupata ushindi dhidi ya kifo ili awape uzima wa milele wote wamwaminio.
Yohana 1:12 inatuambia ya kwamba “wote waliomwamini aliwapa uwezo kuwa wana wa mungu, kwa wale waliaminio jina lake.” Mkristo wa kweli ni mwana wa Mungu halisi, sehemu ya jamii halisi ya Mungu na aliyepewa maisha mapya ndani ya Kristo.
Moja ya Alama ya mkristo wa kweli ni upendo kwa wengine na utiifu kwa neno la Mungu (Yohana wa kwanza 2:4; Yohana wa kwanza 2:10).

Kwa bahati mbaya, neno mkristo limepoteza kwa kiwango kikubwa usawa wa matumizi yake na Linatumika mara kwa mara kumaanisha tu mtu mwenye dini au pengine muadilifu kinyume cha Mfuasi halisi wa yesu kristo aliyezaliwa mara ya pili. Watu wengi wasioamini na kuwa na tumaini ndani ya yesu kristo hujichukulia tu kuwa ni wakristo kwa sababu wanahudhuria ibada za kanisa ama wanaishi katika taifa la kikristo. Lakini, kuenda kanisani, kuwahudumia wale wasiobahatika maishani au kuwa mtu mzuri haviwezi kukufanya kuwa mkristo. Kama muinjilisti mmoja alivyosema, “kuenda kanisani hakufanyi mtu kuwa mkristo sawa na mtu kuenda gereji hakumfanyi kuwa gari.” Kuwa mshirika wa kanisa anayehudhuria ibada kila mara na kutoa kwa ajili ya kazi za kanisa hakuwezi kukufanya wewe kuwa mkristo.

SAIDIA HUDUMA KWA KUCHANGIA
Airtel money: +255 (0) 784 662 2210

KUSUDI LANGU:
►Kufundisha watu kumfahamu na kumjua Mungu (JEHOVA)
►Kufundisha watu kutembea katika nguvu za Roho Mtakatifu wa Mungu.
►Kuwatia moyo na kuwafundisha watu kumjua Mungu wao na kumtii.
►Kuwajulisha watu kwa Mwana wa Mungu, Yesu Kristo.

► Youtube @ / @injilinjeyakutazakanisa
► Ungana nasi Instagram: / mwl.eliya

➲Ikiwa unapenda mafundisho yetu na ungependa kupata taarifa mpya kila wakati, tafadhali jiandikishe na ubonyeze kengele🔔 (karibu na kitufe cha kujiunga) ili kupokea taarifa mpya!!!

TAFADHALI KUMBUKA:
Mafundisho ama maoni yoyote kati ya yatayotolewa na wafundishaji si lazima yawakilishe maoni ya chaneli hii “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ au mafundisho mingine yoyote ambayo yanaweza kuwa au kusudiwa. Injili nje ya Kuta za Kanisa haiwatetei wala kuunga mkono shughuli yoyote isiyo halali ama inayokiuka sheria za nchi kwa mtu yeyote au jumuiya.

ILANI YA HAKI MILIKI:
Tunamruhusu mtu yeyote kutafsiri maudhui ya mafundisho yetu na kushirikisha wengine video lakini video lazima ibaki ikiwa na chapa chini “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ (yenye nembo yetu na kiunganishi cha chaneli hii) wazungumzaji wote wanapaswa pia kutambuliwa katika maelezo,

ZINGATIO: Hatufungani wala Kuchangamana na Taasisi, Dini ama Dhehebu lolote, kwetu ni nguvu za Mungu katika Neno lake!

Mkristo Ni Mtu wa namna gani? | Mwal. Eliya Lsn 1, 200925

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Kuzaliwa Mara ya Pili Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 3, 160925

Kuzaliwa Mara ya Pili Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 3, 160925

Многие христиане это делают, но Библия запрещает

Многие христиане это делают, но Библия запрещает

Ukweli Juu ya Maisha na Fursa Ujerumani: Nchi ya Ahadi au Changamoto? 🇩🇪

Ukweli Juu ya Maisha na Fursa Ujerumani: Nchi ya Ahadi au Changamoto? 🇩🇪

Эти 8 Фраз выдают Глупца за секунду! Вы слышите эти фразы каждый день! Еврейская мудрость

Эти 8 Фраз выдают Глупца за секунду! Вы слышите эти фразы каждый день! Еврейская мудрость

What is the beautiful song of Morani ?

What is the beautiful song of Morani ?

РАСПАД БОЛЬШОЙ СИСТЕМЫ / КУТАЕВ / ТЕМИРОВ / АЙСИН / POISTINE

РАСПАД БОЛЬШОЙ СИСТЕМЫ / КУТАЕВ / ТЕМИРОВ / АЙСИН / POISTINE

29 декабря 2025 г.

29 декабря 2025 г.

В каких случаях прощать нельзя (прот. Александр Проченко) @р_и_с

В каких случаях прощать нельзя (прот. Александр Проченко) @р_и_с

Японский метод: Как убить любую зависимость

Японский метод: Как убить любую зависимость

James Millya afungua ofisi ya pili ya mbunge Terrat,amteua Ole Njidai kuwa Katibu

James Millya afungua ofisi ya pili ya mbunge Terrat,amteua Ole Njidai kuwa Katibu

Mwamini ama Mkristo [Ni kufuata Yesu kila Siku] | Mwal. Eliya Lsn 1, 210925

Mwamini ama Mkristo [Ni kufuata Yesu kila Siku] | Mwal. Eliya Lsn 1, 210925

Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925

Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925

Episode 1 part 2 Chairman talks about the root cause of GBV

Episode 1 part 2 Chairman talks about the root cause of GBV

"Вавилон, Изкуственият интелект и Пророчеството" п-р Дъг Бачелър СУБТИТРИ

🥲

🥲"NAJIBU SWALI🍻 LINALOWASUMBUA MUDA MREFU; POMBE NI DHAMBI SIO DHAMBI?" ~ Mch. Tony Kapola

December 7, 2025

December 7, 2025

Как распознать лицемера? Фальшивая вера и лицемерное христианство

Как распознать лицемера? Фальшивая вера и лицемерное христианство

Biblia [Kwanini ni ngumu kueleweka] Mwl Eliya Lsn 6, 250825

Biblia [Kwanini ni ngumu kueleweka] Mwl Eliya Lsn 6, 250825

Если у тебя спросили «Как твои дела?» — НЕ ГОВОРИ! Ты теряешь свою силу | Еврейская мудрость

Если у тебя спросили «Как твои дела?» — НЕ ГОВОРИ! Ты теряешь свою силу | Еврейская мудрость

Молодежь уходит из церкви! Разрыв поколений || Александр Шевченко

Молодежь уходит из церкви! Разрыв поколений || Александр Шевченко

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]