KESI YA MFALME ZUMARIDI: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI MAOMBI YA UTETEZI..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2022-09-20
Просмотров: 3814
KESI YA MFALME ZUMARIDI: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI MAOMBI YA UTETEZI..
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza imetupilia mbali maombi mawili yaliyowasilishwa na jopo la mawakili wa utetezi katika kesi ndogo iliyoibuka ndani ya kesi kubwa inayowakabili Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wenzake 83.
Maombi hayo yaliibuliwa na jopo la mawakili wa utetezi Septemba 14 mwaka huu, baada ya kuibuka mvutano kuhusiana na saini iliyowekwa kwenye maelezo ya onyo ya mshtakiwa namba moja (Mfalme Zumaridi) aliyedai saini iliyowekwa kwenye maelezo hayo siyo yake
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: