Historia ya mwanzilishi wa maskauti duniani Lord Baden Powell, aliyezikwa Nyeri
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-03-06
Просмотров: 5240
Kila mwaka, maskauti kutoka sehemu mbali mbali kote duniani na hata hapa nchini hufika katika kaunti ya Nyeri kila tarehe 22 mwezi wa Februari kusherehekea siku ya mwanzilishi wa kikundi hicho Lord Baden Powell. Kwa wazazi wengi walio na watoto maskauti, safari za kwenda Nyeri kwa mafunzo pia huwa kati ya mipango. Hata hivyo, swali wengi wanajiuliza ni je, mbona mambo haya yafanyike Kaunti ya Nyeri?
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: