WACHAGA WA OLD MOSHI I IBADA YA MAKABILA
Автор: KKKT UBUNGO
Загружено: 2024-08-01
Просмотров: 87
JUMAPILI YA TAREHE 28.07.2024 ILIKUWA NI SIKU YA MAKABILA KATIKA USHARIKA WETU, IKIWA NI MAADHIMISHO YA MAKABILA YANAYOABUDU KATIKA USHARIKA WETU. IBADA HIYO ILIHUSISHA UIMBAJI KWA LUGHA ZA MAKABILA LAKINI PIA VYAKULA VYA MAKABILA MBALIMBALI VILIKUWEPO. MOJA YA MAKABILA YANAYOPATIKANA USHARIKANI NI WACHAGA WA OLD MOSHI KUTOKA MKOA WA KILIMANJARO.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: