Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Mawazo Mazuri (ya Biashara) Hayafanikiwi kwa Sababu Hizi 8 | Michael Kamukulu

Автор: LENZI | Michael Kamukulu

Загружено: 2025-05-03

Просмотров: 1271

Описание:

Kwa nini mawazo mazuri hayatoboi?
Umewahi kuwa na wazo bora ambalo linaonekana kuwa na uwezo wa kubadilisha maisha yako, lakini bado halijafikia mafanikio? ungana na Michael Kamukulu kwenye video hii anapofichua ukweli nyuma ya changamoto zinazofanya mawazo mazuri ya biashara na ujasiriamali yasiweze kufanikiwa kama inavyotarajiwa.

Ukweli mchungu ni kwamba, mawazo mazuri pekee hayatoshi kufanikisha ndoto zako za biashara na ujasiriamali.

Kwa nini mawazo mazuri hayatoboi?
1. Wazo sio vitendo – Unaweza kuwa mtaalam wa kubuni, lakini bila kuchukua hatua, ni hadithi tu.
2. Kudhani kwamba wazo zuri lazima liwe gumu – Urahisi mara nyingi ndio malkia!
3. Kujimilikisha mawazo ya wengine – Copy-paste bila ruhusa sio suluhisho.
4. Kuchukulia matokeo ya wengine kama ni rahisi – Kila safari ina changamoto zake.
5. Unapenda wazo, lakini soko halipendi solution yako – Wateja hawadanganyiki!
6. Kukosa ujuzi unaohitajika – Idea + Skills = Execution.
7. Kulipeleka kwa walengwa wasio sahihi – Targeting ni game-changer.
8. Too ahead of time (nje ya nyakati) – Timing ni kila kitu.

Tazama na ujifunze mbinu za kugeuza mawazo kuwa shughuli nenye matokeo
Toa maoni yako: Ni ipi changamoto kubwa inayokuzuia kugeuza mawazo yako kuwa uhalisia?

Subscribe ili kupata videos zaidi za mindset, biashara, na maendeleo binafsi!

***

Jifunze jinsi ya kufanya ili uwe tofauti, na upate fursa na nafasi ya kuinuka na kusimama imara ukiwa kiongozi na mwongoza njia wa maisha yako na kuwa na ushawishi kwa watu wengi. Ungana na Michael Kamukulu kupitia @lenzi.michaelkamukulu na @lenzimeacademy ili uweze kupata maarifa na ujuzi utakaokubadilisha na kuwa na tabia za watu wenye mafanikio na matokeo makubwa kifedha na kimaisha kwa ujumla. Ni wakati wako kung'ara na kuwa mtu wa thamani zaidi kwa wengine na kwa maisha yako. Utajiri na umasikini vyote viko kwenye nguvu ya tabia, mienendo na maamuzi yako ya kila siku.

———————————————
Wasiliana nasi kwa huduma zaidi ikiwemo:
1. Mafunzo na mwongozo maalum wa kufikia malengo (personal/individual coaching)
2. Mafunzo na mwongozo maalum kwa makundi na taasisi (group coaching)
3. Ushauri wa kitaalam kuhusu maendeleo binafsi (personal development)

Mawasiliano yetu:
Simu: +255 752 465 039
Baruapepe: lenzimindset@gmail.com

* *

Pata Kozi Kuhusu jinsi ya kujiajiri na kuongeza kipato kwa kutumia MAUDHUI kwa bei nafuu ya TZS 15,000 tu kupitia hapa https://tr.ee/UTrb-ghbfk

#HatuaMojaMbeleKilaSiku #michaelkamukulu #lenzimindset #lenziacademy

Mawazo Mazuri (ya Biashara) Hayafanikiwi kwa Sababu Hizi 8 | Michael Kamukulu

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

JINSI YA KULINDA PESA YAKO NA KUITUNZA (MBINU 10 MUHIMU) | Michael Kamukulu

JINSI YA KULINDA PESA YAKO NA KUITUNZA (MBINU 10 MUHIMU) | Michael Kamukulu

Отказ от территорий? / Войска оставили позиции

Отказ от территорий? / Войска оставили позиции

Jinsi ya kutunza pesa - Paul Magola

Jinsi ya kutunza pesa - Paul Magola

RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA HOTELI YA JAZ ELITE AURORA, ZANZIBAR

RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA HOTELI YA JAZ ELITE AURORA, ZANZIBAR

JAJI MKUU ACHARUKA -

JAJI MKUU ACHARUKA -"HUO NI UVUNJAJI WA KATIBA, AKILI YAKE NAIFAHAMU - WATU WOTE TUNATAKA HAKI"

Проснувшись, Делай Это! - Как Начинать Свой День | Боб Проктор (Правила Успеха)

Проснувшись, Делай Это! - Как Начинать Свой День | Боб Проктор (Правила Успеха)

Jinsi ya Kufanikiwa Hatua kwa Hatua (Watu Wengi Hukosea Hapa)

Jinsi ya Kufanikiwa Hatua kwa Hatua (Watu Wengi Hukosea Hapa)

JAJI MKUU ACHOMOA BETRI MBELE YA RAIS SAMIA KUHUSU WAKUU WA MIKOA NA WILAYA

JAJI MKUU ACHOMOA BETRI MBELE YA RAIS SAMIA KUHUSU WAKUU WA MIKOA NA WILAYA

"Rejs Hołowni" - reportaż Arkadiusza Wierzuka

ONGEZA USHAWISHI LWA KUZUNGUMZA MBELE ZA WATU. Tumia mbinu hizi by Rodrick Nabe

ONGEZA USHAWISHI LWA KUZUNGUMZA MBELE ZA WATU. Tumia mbinu hizi by Rodrick Nabe

Уоррен Баффет: Если вы хотите разбогатеть, перестаньте покупать эти 5 вещей.

Уоррен Баффет: Если вы хотите разбогатеть, перестаньте покупать эти 5 вещей.

AINA 4 ZA WATU WAKATI WA CHANGAMOTO    JOEL NANAUKA

AINA 4 ZA WATU WAKATI WA CHANGAMOTO JOEL NANAUKA

Ты на ДНЕ? Как БЫСТРО ВЗЛЕТЕТЬ? Саидмурод Давлатов

Ты на ДНЕ? Как БЫСТРО ВЗЛЕТЕТЬ? Саидмурод Давлатов

Бизнес Идеи 2025! ТОП-95 лучшие станки для бизнеса из Китая (№32)

Бизнес Идеи 2025! ТОП-95 лучшие станки для бизнеса из Китая (№32)

Бизнес с нуля в 2025 | Лучшие станки для производства и идеи для начинающих

Бизнес с нуля в 2025 | Лучшие станки для производства и идеи для начинающих

Если у тебя спросили «Как твои дела?» — НЕ ГОВОРИ! Ты теряешь свою силу | Еврейская мудрость

Если у тебя спросили «Как твои дела?» — НЕ ГОВОРИ! Ты теряешь свою силу | Еврейская мудрость

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com