SHEREHE YA YESU KRISTO MFALME NA MAADHIMISHO YA 39 YA VIJANA DUNIANI.
Автор: RADIO HABARI NJEMA
Загружено: 2024-11-24
Просмотров: 2154
Adhimisho la Sadaka ya Misa Takatifu Dominica ya 34 ta mwaka B wa kanisa, Sherehe ya Yesu Kristo Mfalme na Maadhimisho ya 39 ya Vijana Duniani.
Ni kutoka Kanisa Kuu la Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni Sanu Jimbo Katoliki Mbulu.
Anayeadhimisha Misa hii ni Mhashamu Askofu wa Jimbo Katoliki Mbulu Anthony Lagwen.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: