Yosefu Tunakutolea - Harmony by J. Mgandu
Автор: George Nyotoka
Загружено: 2021-02-14
Просмотров: 2708
Maneno ya wimbo
1. Yosefu tunakutolea sifa na heshima, wana wako elekea uwe kwetu mjima
Kiitikio: Eewe mlinzi mwaminifu tunaomba kwako, mlinde Baba Mtakatifu na kanisa lako x 2.
2. Yesu amekuteua kuwa mlinzi wake, Heri gani unajua kwita Baba yake, Eewe mlinzi mwaminifu.....................................................
3. Ukamtuma na Maria Mama wa Mwenyezi, Kwako tunakimbilia Baba wa mwombezi, Eewe mlinzi mwaminifu...........................
4. Roho tunapozimia Yosefu karibia, saa ile karibia kwake tufikie, Eewe mlinzi mwaminifu................................................
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: