UZINDUZI WA UMITASHUMTA MKOA WA TABORA 2024
Автор: MBOKA TV
Загружено: 2024-05-11
Просмотров: 162
Katibu tawala wa mkoa wa TABORA,Daktari JOHN MBOYA amezindua mashindano ya umoja wa michezo na taaluma kwa shule za msingi Tanzania-UMITASHUMTA ngazi ya mkoa wa TABORA na kuwataka vijana watakaochaguliwa kuonesha bidii.
Kwa upande wake Afisa elimu wa mkoa wa TABORA,Mwalimu JUMA KAPONDA amesema ana imani mwaka huu TABORA itaibuka mabingwa katika mashindano ya Taifa yatakayofanyika mwezi ujao mkoani TABORA.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: