ROBOTI EUNICE AZUNGUMZA NA DAILY NEWS DIGITAL ATOA UJUMBE MZITO
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2024-05-16
Просмотров: 50630
#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo#tanzania
ROBOTI aliyetambulika kwa jina la Eunice ambaye amekuwa kivutio kikubwa katika Viunga vya Bunge jijini Dododoma, amesema lengo la yeye kuja Tanzania si kuchukua ajira za watanzania bali kufanyanao kazi kwa pamoja.
Huku Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Mwasaga Nkundwe akisema lengo la kuleta roboti hii ni kukuza ubunifu wa kidigitali katika kukuza uchumi, ambayo inaweza kusaidia katika majukumu mbalimbali ikiwemo hata kuokoa ajali zinatokea.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: