MWANAMKE SHUJAA KASULU ANAYEENDESHA MTAMBO "EXCAVATOR" - SIMULIZI YAKE INASISIMUA
Автор: Buha TV Online
Загружено: 2023-10-14
Просмотров: 786
Felister Peter Mkini ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30, ni mmoja wa wanawake wachache tanzania waliothubutu kufanya kazi ambazo wengi hudhani ni kazi za wanaume.
Akiwa na umri wa miaka 22 alikuwa ni mmoja wa wasichana watundu waliopenda kufuatilia shughuli za uendeshaji wa mitambo ikiwemo ile ya mashambani, mitambo ya ujenzii ikiwemo inayotumika kujenga barabara kwa kiwango cha lami.
Kiu yake ya kutaka kujua mambo, hakuiacha ipite bure, taratibu alianza kufanya urafiki na wajuzi wa kazi hizo na hatimaye akakubaliwa kujifunza kazi za udereva.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: