#TBCDIGITAL
Автор: TBConline
Загружено: 2024-07-16
Просмотров: 1214
Hospitali ya Taifa Muhimbili - Mloganzila imetangaza kuanzisha huduma mpya ya kutibu magonjwa ya ngozi kwa kutumia teknolojia mpya na ya kisasa ya mwanga (Laser) ikiwemo kufuta tattoo.
Akizungumza na vyombo vya habari, Naibu Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) - Mloganzila, Dkt. Julieth Magandi amesema hospitali hiyo ina wataalamu waliobobea katika magonjwa ya ngozi sambamba na vifaa tiba vya kisasa ambavyo vinapatikana Mloganzila.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: