Kilimo Biashara | Teknolojia ya lishe ya kondoo kuimarisha mifugo
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-08-23
Просмотров: 6067
Watafiti humu nchini wamebuni teknolojia mpya, itakayowezesha wafugaji kuboresha kiwango cha mifugo wao. Teknolojia hii ya lishe kwa kondoo itapunguza muda wa kukuwa kwa mifugo hao na kuongeza mapato kwa wafugaji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: