WAFAHAMU TBA NA KAZI ZAKE
Автор: Ndalini Media Solution Limited
Загружено: 2025-07-10
Просмотров: 191
Wakala wa majengo hapa nchini (TBA) wamekuwa wakala muhimu kwenye kusanifu pamoja na kujenga majengo mbalimbali ambayo moja kwa moja yanawagusa wananchi wa kipato cha chini na cha juu
Hayo yameelezwa na watumishi mbalimbali kwenye banda la Wakala hiyo kwenye maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara mwaka 2025 yanayoendelea kushika kasi Dar es Salaam kwenye barabara ya Kilwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: