HOJA MEZANI| Ufafanuzi wa kitita cha bima ya afya NHIF
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-02-28
Просмотров: 428
Mahojiano maalum na Mkurugenzi mkuu wa NHIF, Bernard Konga akielezea kitita cha bima ya afya NHIF na jinsi wanachama wao wananufaika na kitita hicho na kueleza sakata la hospitali za binafsi kukataa kutoa huduma ya bima ya afya baada ya kitita hicho kutangazwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: