JK Jukwaani Kutumbuiza
Автор: SIMU. Tv
Загружено: 2015-02-05
Просмотров: 41245
Je uliwahi kumuona Rais akiimba jukwaani? Basi katika maadhimisho ya miaka 38 ya CCM Mkoani Songea, Rais Jakaya Kikwete anajaribu kupamba sherehe hizi kwa kuimba huku akitoa hotuba kuhusu mafanikio ya Chama Hicho na ahadi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: