AJALI YA GARI ILIVYOUA WATU WATANO MOROGORO, Mashuhuda Wasimulia
Автор: TBConline
Загружено: 2020-03-23
Просмотров: 2313
AJALI YA GARI ILIVYOUA WATU WATANO MOROGORO, Mashuhuda Wasimulia
Watu watano wamefariki Dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali iliyotekea eneo la Kiyegea barabara Kuu ya Morogoro Dodoma baada ya gari aina ya lori kuyagonga kwa nyuma magari matatu na kutumbukia katika daraja la mto Kiyegea .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: