MWANA FA AZINDUA SAMIA CUP/KATAMBI CUP SHINYANGA
Автор: KALUNGWA TV
Загружено: 2024-07-15
Просмотров: 53
Naibu waziri wa utamaduni, Sanaa na michezo ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Muheza mkoani Tanga Mhe. Hamis Mwijuma amesema kufatia usajili uliofanywa na timu zinazoshiriki ligi kuu Tanzania Bara ni matarajio ya kila mmoja kuwa kutakuwa na ushindani mkubwa pindi msimu wa mwaka 2024/2025 utkapoanza.
Amesema hayo wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Dr. Samia Cup/Katambi Cup yanayotarajiwa kufanyika kwenye viwanja mbalimbali ndani ya manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga.
Akizungumza kwenye ufunguzi wa mashindano hayo Mhe. Mwinjuma @mwanafa amewataka vijana kuchangamkia fursa sekta ya michezo hususa ni mpira wa miguu ili kuibua vipaji vyao na kupata ujira kupitia mchezo huo huku akiweka bayana usajili wa wachezaji wa kigeni kwenye klabu mbalimbali hapa nchi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: