Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

WAZIRI WA ULINZI & JKT AFANYA ZIARA KUKAGUA BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA KIKOMBO

Автор: Ulinzi Channel

Загружено: 2025-07-11

Просмотров: 1738

Описание:

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Stegomena Lawrence Tax(Mb), tarehe 10 Julai 2025, amefanya ziara na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa Barabara Kuu kutoka Buigiri kuelekea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT) Kikombo mkoani Dodoma.
Mara baada ya kuwasili katika eneo la Mradi, Mhe. Waziri Tax, alipokelewa na Mkuu wa Wilaya Chamwino, Mheshimiwa Janeth Mayanja, aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa Dodoma, ambapo pia wawakilishi kutoka Wizara ya Ujenzi Injinia Aloyce Mtei, Mkurugenzi wa Barabara nchini, Injinia Zuhura Amani pamoja na baadhi ya wataalam walikuwepo.
Hata hivyo baada ya kupokea taarifa fupi ya utekelezaji wa mradi na baadaye kupitishwa katika maeneo kadhaa, Waziri wa Ulinzi na JKT alibaini baadhi ya kasoro ikiwemo kuzorota kwa kasi ya utekelezaji wa mradi huo na akatoa maagizo ya kuona namna gani uharakishwaji unaweza kufanyika ili kuendana na muda wa kukamilishwa kwa ujenzi wa Barabara hiyo.
Aidha, ameagiza kuundwa kwa timu maalum ya mpango kazi kutoka Wizara ya Ulinzi na JKT kwa kushirikiana na Wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi pamoja na Wataalam kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma ili kuhakikisha Ujenzi wa barabara unakamilika kwa wakati.
Naye, Mkuu wa Wilaya Chamwino Mhe Janeth Mayanja, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Dodoma, amemhakikishia Waziri Tax, kuwa uongozi wa Mkoa utahakikisha unatoa ushirikiano stahiki ili kuhakikisha ujenzi huo unakamilika kama ulivyokusudiwa.
Kwa upande wa Mkurugenzi wa Barabara nchini, Injinia Aloyce Mtei, ametoa maelekezo kwa Wataalam wa TANROAD Mkoa Dodoma, kuandaa mpangokazi shirikishi haraka iwezekanavyo ili mradi huo uwe umekamilika.
Ujenzi wa barabara hiyo toka barabara kuu iendayo Dar el Salaam kwenda Kikombo unatarajiwa kukamilika mwezi wa septemba mwaka huu.

#wizarayaulinzi #jwtz #jkt

WAZIRI WA ULINZI & JKT AFANYA ZIARA KUKAGUA BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA KIKOMBO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

WAZIRI WA ULINZI  NA JKT AHITIMISHA RASMI MAFUNZO YA CHUO CHA UKAMANDA NA UNADHIMU DULUTI

WAZIRI WA ULINZI NA JKT AHITIMISHA RASMI MAFUNZO YA CHUO CHA UKAMANDA NA UNADHIMU DULUTI

TEKNOLOJIA MPYA YA LAMI NYEPESI (FAST TRACK EMULSION PRIMER - C55) YAANZA KUTUMIKA KTK BARABA YA....

TEKNOLOJIA MPYA YA LAMI NYEPESI (FAST TRACK EMULSION PRIMER - C55) YAANZA KUTUMIKA KTK BARABA YA....

WAZIRI WA ULINZI AONGOZA UPANDAJI MITI  MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA NA VIWANJA VYA WATUMISHI

WAZIRI WA ULINZI AONGOZA UPANDAJI MITI MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA NA VIWANJA VYA WATUMISHI

ULEGA AMBANA MKANDARASI BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA JESHI (JWTZ)

ULEGA AMBANA MKANDARASI BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA JESHI (JWTZ)

WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMKABIDHI MKUU WA MAJESHI WA KWANZA MSTAAFU TANZANIA GARI JIPYA LA KISASA

WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMKABIDHI MKUU WA MAJESHI WA KWANZA MSTAAFU TANZANIA GARI JIPYA LA KISASA

NDEGE YATUA KWA MARA YA KWANZA UWANJA WA MSALATO DODOMA KWA MAJARIBIO, WAZIRI ULEGA AFUNGUKA

NDEGE YATUA KWA MARA YA KWANZA UWANJA WA MSALATO DODOMA KWA MAJARIBIO, WAZIRI ULEGA AFUNGUKA

ПИНКУС: ВОТ КТО СЛИЛ плёнки Уиткоффа-Ушакова! Трамп ОШАРАШИЛ Украину по войне. СДЕЛКИ не будет?

ПИНКУС: ВОТ КТО СЛИЛ плёнки Уиткоффа-Ушакова! Трамп ОШАРАШИЛ Украину по войне. СДЕЛКИ не будет?

ZIARA YA WAZIRI WA ULINZI ANGOLA AKITEMBELEA KAMBI YA RUVU JKT MKOANI PWANI

ZIARA YA WAZIRI WA ULINZI ANGOLA AKITEMBELEA KAMBI YA RUVU JKT MKOANI PWANI

WAZIRI WA ULINZI DKT. STERGOMENA TAX Awaaga Watumishi wa Wizara na Kuwapa Ujumba huu...

WAZIRI WA ULINZI DKT. STERGOMENA TAX Awaaga Watumishi wa Wizara na Kuwapa Ujumba huu...

WAANDISHI WA HABARI WAMKABIA JUU WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NA MASWALI MAGUMU

WAANDISHI WA HABARI WAMKABIA JUU WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NA MASWALI MAGUMU "MNAFICHA NINI?"

🌐WAZIRI MKUU DKT.MWIGULU AAGIZA MKANDARASI KUKAMATWA NA KUZUIWA HATI YAKE YA KUSAFIRIA

🌐WAZIRI MKUU DKT.MWIGULU AAGIZA MKANDARASI KUKAMATWA NA KUZUIWA HATI YAKE YA KUSAFIRIA

🔥 Не мир, а ИЗМАТЫВАНИЕ Украины – Путин отказался от компромиссов – объясняет FREEДОМ

🔥 Не мир, а ИЗМАТЫВАНИЕ Украины – Путин отказался от компромиссов – объясняет FREEДОМ

Türk Komutandan İsrail'e Tokat! O Teknolojiyi Gören Netanyahu Boynunu Büktü Oturdu!

Türk Komutandan İsrail'e Tokat! O Teknolojiyi Gören Netanyahu Boynunu Büktü Oturdu!

WAZIRI WA ULINZI NA JKT AFUNGUA ZOEZI LA PAMOJA LA KIJESHI KATI YA TANZANIA NA INDIA

WAZIRI WA ULINZI NA JKT AFUNGUA ZOEZI LA PAMOJA LA KIJESHI KATI YA TANZANIA NA INDIA

Türkiye ve İsrail Suriye'de Karşı Karşıya! Netanyahu

Türkiye ve İsrail Suriye'de Karşı Karşıya! Netanyahu "T-4 Hava Üssünü Vurduk"

Крушение самолета AZAL: Казахстан раскрывает новую информацию. 25 ноября

Крушение самолета AZAL: Казахстан раскрывает новую информацию. 25 ноября

⚡️ЧАС НАЗАД! Срочное ОБРАЩЕНИЕ Трампа по войне в Украине. Все АЖ ЗАМОЛКЛИ! Слушайте, ЧТО СКАЗАЛ

⚡️ЧАС НАЗАД! Срочное ОБРАЩЕНИЕ Трампа по войне в Украине. Все АЖ ЗАМОЛКЛИ! Слушайте, ЧТО СКАЗАЛ

Страна, которая притворяется бедной

Страна, которая притворяется бедной

Российский атомный ГИГАНТ ломает американскую мечту

Российский атомный ГИГАНТ ломает американскую мечту

⚡️ Зеленский пошёл на крайние меры || Война заканчивается?

⚡️ Зеленский пошёл на крайние меры || Война заканчивается?

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]