Mjadala wa kubadili jina la kaunti ya Tharaka Nithi wachacha
Автор: Citizen Extra
Загружено: 2018-06-21
Просмотров: 420
Mgogoro unazidi kutokota katika kaunti ya Tharaka Nithi kuhusiana na mipango ya kubadilisha jina la kaunti hiyo. Gavana wa kaunti hiyo Muthomi Njuki amekashifu mikakati ya baadhi ya viongozi kutoka jamii za maara na chuka ya kutaka kugeuza jina la kaunti hiyo iitwe Meru ya kusini badala ya Tharaka Nithi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: