IBADA YA SABATO | UTAMBULISHO WA MCHUNGAJI: ELIAS SIBORA | MHUDUMU Ni Mch:PETRO MUGANDA | 10.01.2026
Автор: SDA Church Magomeni
Загружено: 2026-01-10
Просмотров: 1703
MPENZI MTAZAMAJI NA MSHIRIKI WA SDA CHURCH MAGOMENI KARIBU SANA KATIKA IBADA YA SABATO
LEO NI SABATO MAALUMU YA UTAMBULISHO WA MCHUNGAJI MPYA MCHUNGAJI: ELIAS SIBORA
MTOA HUDUMA WA LEO NI MWENYEKITI ECF, MCHUNGAJI: PETRO MUGANDA
BWANA AKUBARIKI UNAPOSHIRIKI IBADA HII PAMOJA NASI 10.01.2026.
WAHUDUMU
Mwenyekiti : Eld: Adamu Nyando.
Mhubiri: Mchungaji, Petro Muganda - Mwenyekiti ECF.
Ombi Kuu: Felix Musiba
Fungu Kuu: Matendo Manono
Wito wa Ibada : Andrew Mbaga.
Zaka & Sadaka : Eliatosha Mrimia
Wimbo wa matoleo: Gospel Flames
Wimbo Ibada kuu: Magomeni Church Choir.
Mwimbishaji: Ahadi Sagati.
Kinanda: Elly Nzota.
Unaweza kutoa Zaka, Sadaka na Michango Mingine yote ya kanisa Kupitia:
AKAUNTI ZA KANISA - Jina SDA Church Magomen.
NBC TZS A/C: 022101002678
NBC USD A/C: 022105000871
Maendeleo TZS. A/C 024030996021
Maendeleo USD. A/C 024030996031
CRDB TZS. A/C 015C493711100
SIMU Vodacom Lipa namba 5949894 - Jina SDA Church Magomeni.
Baada ya kutoa, tafadhali kumbuka kuwasiliana na Muhazini wa kanisa kumpa taarifa muhimu kuhusu matoleo yako.
NAMBA YA MHAZINI WA KANISA +255 688 441 211.
#live #sda #sdachurchmagomeni #mezayabwana #sdachurch #priscamethusela
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: