Askofu Mkuu Novatus Rugambwa kuzikwa Kanisa Kuu Bukoba/ Askofu Mwijage atoa Ratiba/ Askofu Kilaini..
Автор: Radio Mbiu
Загружено: 2025-09-19
Просмотров: 9177
Askofu JOVITUS MWIJAGE, Askofu wa Jimbo Katoliki BUKOBA, amesema mwili wa Marehemu Askofu Mkuu NOVATUS RUGAMBWA, aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu nchi mbalimbali Duniani, anatarajiwa kuzikwa tarehe 29 Septemba 2025, Katika Kanisa la Bikira Maria Mama Mwenye huruma, Kanisa Kuu , Jimbo Katoliki BUKOBA.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: