Hakika Ni kheri niwe bawabu kuliko kuondoka Uweponi Mwako
Автор: Fpct Chapakazi
Загружено: 2025-10-23
Просмотров: 60
Zaburi 150
2 Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.
3 Msifuni kwa mvumo wa baragumu; Msifuni kwa kinanda na kinubi;
4 Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi;
5 Msifuni kwa matoazi yaliayo; Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
6 Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Haleluya.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: