EXCLUSIVE: Mama aliyefanya kazi ya mochwari kwa kujitolea kwa zaidi ya mwaka mmoja
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-07-25
Просмотров: 621138
Kumekuwa na stori nyingi au mazoea ya kuona kazi ya mochwari ni kazi ambayo ngumu au sio ya kawaida kufanywa na mtu yoyote hususani kwa wanawake kutokana na kuwa ina aaminika kufanya kazi mochwari sio jambo ndogo kwani wengi wao watu huogopa. AyoTV imefanikiwa kusafiri hadi Geita na kufanikiwa kumpata katika exclusive interview Angel Samwel Milinga ni mama wa familia lakini kubwa anafanya kazi katika hospitali ya mkoa wa Geita kitengo cha mochwari kwa kujitolea kwa zaidi ya mwaka.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: