Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Ole Sendeka alipuka bungeni akitaka shingo ya mtu, Venant akichangia; Mwigulu na Mhagama wasimama

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2023-11-02

Просмотров: 37073

Описание:

Mbunge wa Simanjiro (CCM) Christopher Ole Sendeka amewataka Mawaziri ambao Wizara na taasisi zilizochini yao zimetajwa katika ubadhirifu, wawajibike wenyewe.

Ole Sendeka amesema kama hawatawajibika basi bunge liondoke na alichokiita shingo ya yule ambaye wanamamlaka naye kwa alichosema “wanachezea sana.”

Mbunge huyo ametoa kauli hiyo bunge leo Alhamisi Novemba 2,2023 alipokuwa akichangia kwenye taarifa za Kamati za bunge kuhusu ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Mkongwe huyo ametoa kauli hiyo alipoomba kutoa taarifa wakati mbunge wa Igalula Venant Protas alipokuwa akichangia.

“Mheshimiwa Mwenyekiti,naomba kumpa taarifa mzungumzaji ambaye anachangia vizuri sana, napendekeza kuwa, mawaziri wote ambao taasisi zilizochini yao zimetajwa wawajibike haraka lakini wasipowajibika twendeni na shingo ya yule ambaye tuna mamlaka naye, wasituchezee,” amesema Olesendeka.

Katika mchango wake Protas amemuomba Naibu Waziri Mkuu kwenda na kalandinga (gari la polisi) akabebe watumishi wote wa kampuni ya Tan Oil isipokuwa mhudumu pekee ndiye anastahili kubaki.

Protas kwenye mchango wake amesema kuna mashaka hata katika ofisi ya mwanasheria Mkuu wa Serikali ambayo nayo amepombe ifanyiwe ukaguzi maalumu.

Kwa mujibu wa mbunge huyo, kwenye kesi ya Escrow kampuni ya IPTL ilichukua mabilioni ya fedha lakini Mwanasheria alisimama hadharani na kusema kuwa fedha hizo hazikuwa za Serikali lakini inashangaza muda mfupi imekuja taarifa kuwa Serikali inadaiwa.

Ole Sendeka alipuka bungeni akitaka shingo ya mtu, Venant akichangia; Mwigulu na Mhagama wasimama

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Taarifa zataka kumchanganya Mbunge Lekishon hadi akaomba kiti cha Spika kiingilie kati

Taarifa zataka kumchanganya Mbunge Lekishon hadi akaomba kiti cha Spika kiingilie kati

Ташиев — Тюлееву: Снести третий этаж, дорогу сделать прямой

Ташиев — Тюлееву: Снести третий этаж, дорогу сделать прямой

Serikali Yashindwa Kuikataa au Kuikubali Taarifa Yake.Ni Kuhusu Kuongeza Maeneo ya Hifadhi Kaskazini

Serikali Yashindwa Kuikataa au Kuikubali Taarifa Yake.Ni Kuhusu Kuongeza Maeneo ya Hifadhi Kaskazini

Ինչո՞ւ է Վրաստանը խոչնդոտում ադրբեջանական բենզինի ներկրմանը Հայաստան

Ինչո՞ւ է Վրաստանը խոչնդոտում ադրբեջանական բենզինի ներկրմանը Հայաստան

MBUNGE ATINGA NA POMBE BUNGENI, K.VANT, KONYAGI, AZIPANGA MEZANI -

MBUNGE ATINGA NA POMBE BUNGENI, K.VANT, KONYAGI, AZIPANGA MEZANI - "KWANINI MNAZUIA GONGO?"

Ole Sendeka abanwa na Spika, achomoa hoja, amvaa Waziri  'anamuuzia Rais mbuzi kwenye gunia'

Ole Sendeka abanwa na Spika, achomoa hoja, amvaa Waziri 'anamuuzia Rais mbuzi kwenye gunia'

Պանելային քննարկում՝ ՀՀ պետական մարմինների ներկայացուցիչների առաջին համաժողովին

Պանելային քննարկում՝ ՀՀ պետական մարմինների ներկայացուցիչների առաջին համաժողովին

Cheka kidogo na huyu Mbunge anayejiita 'Bwege' na hivi vituko vyake

Cheka kidogo na huyu Mbunge anayejiita 'Bwege' na hivi vituko vyake

BREAKING: Tanzania inaungua Kwa Sasa, watu wote wametoroka

BREAKING: Tanzania inaungua Kwa Sasa, watu wote wametoroka

MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO

MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO

GWAJIMA 'AWASHA MOTO' BUNGENI, OLE SENDEKA ASIMAMA NA 'KUMLIPUA'

GWAJIMA 'AWASHA MOTO' BUNGENI, OLE SENDEKA ASIMAMA NA 'KUMLIPUA'

HAPATOSHI BUNGENI MPINA NA BASHE | HIZI NI DAKIKA 21 ZA MJADALA MKALI |

HAPATOSHI BUNGENI MPINA NA BASHE | HIZI NI DAKIKA 21 ZA MJADALA MKALI | "MPINA ULETE USHAHIDI"

Подождите год, и Путин будет «аккуратен» с Пашиняном — Венедиктов

Подождите год, и Путин будет «аккуратен» с Пашиняном — Венедиктов

Dkt. Nchimbi, Ole Sendeka baada ya kuteuliwa

Dkt. Nchimbi, Ole Sendeka baada ya kuteuliwa

OLE SENDEKA AWASHA MOTO BUNGENI SAKATA la NGORONGORO, ASHAMBULIA MAGAZETI na MITANDAO INAYOPOTOSHA

OLE SENDEKA AWASHA MOTO BUNGENI SAKATA la NGORONGORO, ASHAMBULIA MAGAZETI na MITANDAO INAYOPOTOSHA

OLE SENDEKA AMCHONGEA RC SENDIGA BUNGENI 'SIWEZI KUMPIGIA MAGOTI/HATUSALIMIANI'

OLE SENDEKA AMCHONGEA RC SENDIGA BUNGENI 'SIWEZI KUMPIGIA MAGOTI/HATUSALIMIANI'

Spika alivyowatahadharisha Wabunge kwenye uchangiaji wa muswada; Ole Lekaita akichangia

Spika alivyowatahadharisha Wabunge kwenye uchangiaji wa muswada; Ole Lekaita akichangia

𝐌𝐛𝐮𝐧𝐠𝐞 𝐰𝐚 𝐒𝐢𝐦𝐚𝐧𝐣𝐢𝐫𝐨 𝐌𝐡𝐞𝐬𝐡 𝐂𝐡𝐫𝐢𝐬𝐭𝐨𝐩𝐡𝐞𝐫 𝐎𝐥𝐞 𝐒𝐞𝐧𝐝𝐞𝐤𝐚 𝐚𝐰𝐚𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐰𝐚𝐦𝐚𝐚𝐬𝐚𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐞𝐧𝐲𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐢𝐬𝐰𝐚𝐡𝐢 𝐂𝐡𝐚𝐤𝐞.

𝐌𝐛𝐮𝐧𝐠𝐞 𝐰𝐚 𝐒𝐢𝐦𝐚𝐧𝐣𝐢𝐫𝐨 𝐌𝐡𝐞𝐬𝐡 𝐂𝐡𝐫𝐢𝐬𝐭𝐨𝐩𝐡𝐞𝐫 𝐎𝐥𝐞 𝐒𝐞𝐧𝐝𝐞𝐤𝐚 𝐚𝐰𝐚𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐰𝐚𝐦𝐚𝐚𝐬𝐚𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐞𝐧𝐲𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐢𝐬𝐰𝐚𝐡𝐢 𝐂𝐡𝐚𝐤𝐞.

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

MBUNGE ATISHIA KUJIUZULU MBELE YA WAZIRI MKUU

MBUNGE ATISHIA KUJIUZULU MBELE YA WAZIRI MKUU "KAMA YUPO NITAJIUZULU"

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]