Matokeo ya Mhe. Assa Makanika (mb) kupiga kelele Bungeni Mhe. Rais amesikia Kilio Cha Wananchi.
Автор: Mhe. Assa Makanika
Загружено: 2021-07-10
Просмотров: 402
Matokeo baada ya Mhe. Assa Makanika (mb) kupiga kelele Bungeni Mhe. Rais amesikia Kilio Cha Wananchi wa Kigoma Kaskazini kwenye miundombinu ya barabara.
Kabla ya Serikali ya awamu ya sita kuingia madafakani tulikuwa tunatengewa TSH. Milioni 400 tu kwa ajili ya barabara. Sasa tunatengewa TSH. Bilioni 1.5 kwa ajili ya kufungua barabara za vijijini ambako kabla hakukuwa na barabara kabisa. (By. Admin)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: