E HABARI/SHUGHULI ZAENDELEA KAMA KAWAIDA BAADA YA MAPUNZIKO YA DESEMBA 9/DEC 10 2025
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2025-12-10
Просмотров: 125
WAKATI hali ya maisha ikirejea kama kawaida katika majiji na mikoa mbalimbali nchini kifuatia tishio la maandamano siku ya jana Jeshi la Polisi nchini limesema hadi sasa bado hakuna tishio la kiusalama huku likiendelea kufuatilia watu na vikundi ambavyo vinadaiwa kuendelea kuhamasisha maandamano yasiyona ukomo kupitia mitandao ya kijamii.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: