Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

KIFO CHA KANUMBA: Ubongo Wake Ulikutwa Umevimba!!!

Автор: Global TV Online

Загружено: 2017-10-23

Просмотров: 39397

Описание:

Subscribe    / uwazi1  
KIFO CHA KANUMBA: Ubongo Wake Ulikutwa Umevimba!!!
KESI inayomkabili muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, imeendelea kusikilizwa leo Jumatatu, Oktoba 23, katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ambapo shahidi wa nne upande wa Jamhuri anatoa ushahidi wake.

Katika ushahidi huo imeelezwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Binadamu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dtk. Innosent Mosha ambaye ni shahidi wa nne wa kesi hiyo, aliletewa oda kutoka Jeshi la Polisi kwamba aufanyie uchunguzi mwili wa Steven Kanumba uliokuwa mochwari akishirikiana na daktari mwingine.

“Tulifungua ubongo wa Kanumba na kuukuta umevimba, mishipa midogomidogo ya ubongo ilikuwa imeingia damu, lakini kabla ya kufungua ubongo, kwenye kisogo kulikuwa na mgando wa damu.

“Baada ya kumaliza uchunguzi wetu tulipeleka sampuli kwa Mkemia Mkuu wa Serikali ambapo tulipeleka pia sampuli mbalimbali za viungo vya mwili wake,” amefafanua Dkt. Mosha.

Ushahidi bado unaendelea kutolewa mahakamani.

FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli.  .

KIFO CHA KANUMBA: Ubongo Wake Ulikutwa Umevimba!!!

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

KIFO CHA KANUMBA: Lulu Ajichanganya Kujibu Maswali Mahakamani!!

KIFO CHA KANUMBA: Lulu Ajichanganya Kujibu Maswali Mahakamani!!

MWANZO MWISHO: Mazishi ya Masogange, Mwanae Atakutoa Machozi

MWANZO MWISHO: Mazishi ya Masogange, Mwanae Atakutoa Machozi

WAZIRI MKUU MWIGULU APASUA UKWELI -

WAZIRI MKUU MWIGULU APASUA UKWELI -"NAJUA MAENEO AMBAYA FEDHA YA UMMA HUWA INAWEZA KUPOTEA"

LIVE I Rais Samia Apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Ikulu Chamwino

LIVE I Rais Samia Apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Ikulu Chamwino

VIDEO ya MWISHO ya JENISTA MHAGAMA - ALIKABIDHI OFISI na KUMKUMBATIA MCHENGERWA - KUMBE ANAAGA!

VIDEO ya MWISHO ya JENISTA MHAGAMA - ALIKABIDHI OFISI na KUMKUMBATIA MCHENGERWA - KUMBE ANAAGA!

RIDHIWANI KIKWETE -

RIDHIWANI KIKWETE -"HATUWEZI KUWA NA SERIKALI AMBAYO VIONGOZI WANALALAMIKIWA KWA UPOTOFU WA MAADILI"

Kesi ya kifo cha Kanumba: Ushahidi wa mdogo wake Kanumba ni mwiba kwa Lulu

Kesi ya kifo cha Kanumba: Ushahidi wa mdogo wake Kanumba ni mwiba kwa Lulu

ПАМЯТЬ ВОСЬМИ ЛЕТ СО ДНЯ СМЕРТИ КАНУМБЫ

ПАМЯТЬ ВОСЬМИ ЛЕТ СО ДНЯ СМЕРТИ КАНУМБЫ

⚡СРОЧНОЕ заявление Трампа о КОНЦЕ ВОЙНЫ! Требует НЕМЕДЛЕННЫХ ВЫБОРОВ в Украине.Зал ЗАТИХ после этого

⚡СРОЧНОЕ заявление Трампа о КОНЦЕ ВОЙНЫ! Требует НЕМЕДЛЕННЫХ ВЫБОРОВ в Украине.Зал ЗАТИХ после этого

LEO KATIKA HISTORIA: STEVEN KANUMBA, JERAHA LA UBONGO LILIVYOONDOA UHAI WAKE

LEO KATIKA HISTORIA: STEVEN KANUMBA, JERAHA LA UBONGO LILIVYOONDOA UHAI WAKE

RAIS DKT. SAMIA AKIPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI, IKULU CHAMWINO

RAIS DKT. SAMIA AKIPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI, IKULU CHAMWINO

CHANZO CHA KIFO CHA MDOGO WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA,SETH BOSCO.

CHANZO CHA KIFO CHA MDOGO WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA,SETH BOSCO.

Kanumba's funeral:Msemaji wa Bongo Movie JB akisema machache

Kanumba's funeral:Msemaji wa Bongo Movie JB akisema machache

Village Pastor 2B - Steven Kanumba & Nurdin Mohamed (Official Bongo Movie)

Village Pastor 2B - Steven Kanumba & Nurdin Mohamed (Official Bongo Movie)

Sakata la kifo cha Kanumba Bungeni Spika akiri kuona taarifa

Sakata la kifo cha Kanumba Bungeni Spika akiri kuona taarifa "Elizabeth Michael alihukkumiwa"

Ramsey Nouah alivyofanya ibada kwenye kaburi la Kanumba

Ramsey Nouah alivyofanya ibada kwenye kaburi la Kanumba

Kanumba Aliondoka Na Bongo Movie? Dr Cheni Afunguka Mwanzo Mwisho | SALAMA NA DR CHENI PART 2

Kanumba Aliondoka Na Bongo Movie? Dr Cheni Afunguka Mwanzo Mwisho | SALAMA NA DR CHENI PART 2

MIRAJI|KAULI MOJA TU IKITOKA SIMBA TUMEISHA|SOWAH PIA AFUNGIWE KWA USHAMBA|MWENDA/KAPOMBE TUMEFELI?

MIRAJI|KAULI MOJA TU IKITOKA SIMBA TUMEISHA|SOWAH PIA AFUNGIWE KWA USHAMBA|MWENDA/KAPOMBE TUMEFELI?

HISTORIA YA LULU: Elimu Yake, Alivyokutana na Kanumba, Familia Yake na Kila Kitu Kuhusu Yeye!!!

HISTORIA YA LULU: Elimu Yake, Alivyokutana na Kanumba, Familia Yake na Kila Kitu Kuhusu Yeye!!!

RIDHIWANI KIKWETE -

RIDHIWANI KIKWETE - "HUKO MTAANI HAITATOKEA KUMUELEWA MTU ANASIMAMA na KUSEMA HIKI si CHANGU"..

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]