Mama Mariam Mwinyi Afungua Wiki ya Afya Zanzibar
Автор: The Chanzo
Загружено: 2025-05-09
Просмотров: 154
Mama Mariam Mwinyi afungua Wiki ya afya Zanzibar kwa kusema jitiahda za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imejidhatiti kuhakikisha kwamba wananchi wa Zanzibar bora za Afya.
Wiki ya Afya Zanzibar imeanza Mei 4 na kuhitimishwa Mei 10 ikijadili juu ya maonesho ya teknolojia za afya, pamoja na utoaji wa Tuzo kwa wataalam na Taasis za Afya bunifu.
Imeandaliliwa na Mwandishi wetu Najjat Omar
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: