Mwanaume auliwa na wenzake, Malava.
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2019-01-22
Просмотров: 989
Vijana watatu wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Kabras kufuatia kifo cha mmoja wao ambaye anadaiwa kuvamiwa na kuuawa na wenzake kutokana na mzozo wa kimapenzi katika kijiji cha Teresia eneo bunge la Malava Kakamega.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: