MANSU LI pt 2 : BEEF NA WEUSI /MALEZI YA TABU /HUSSLA KTKA UMRI MDOGO/USALITI NA URAFIKI WA MASHAKA
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 1365
HIPHOP CORNER EP 10 : MANSU LI
Mansu Li aka Sinza Star anabaki kua Moja ya nembo halisi za Hiphop nchini Tanzania,akiwa ni miongoni mwa wanahiphop waliosimamia misingi yake bila kutetereka kwa miaka mingi,akitengeneza makumi ya nyimbo zillizofanya vizuri ,huku akiishi na kuwakilisha kitongoji chake cha Sinza maisha yake yote,Hii ni sehemu ya Pili ya hadithi yake
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: