Dereva wa gari lililohusika kwenye ajali eneo la Kedowa alikuwa akimfuata mwizi kwa kasi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-12-26
Просмотров: 9000
Imebainika kuwa dereva aliyehusika kwenye ajali ya barabarani iliyowauwa watu watano hapo jana huko kedowa kericho, alikuwa akiwakimbiza wezi. Jamaa zao wanasema kuwa wezi walivunja duka na kutoweka na mali na kusababisha waliohusika kwenye ajali hiyo kuanza kuwafuata kwa kasi wakitumia gari aina ya probox.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: