MAISHA YANGU (OFFICIAL VIDEO) - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania
Автор: Verony Productions
Загружено: 2020-08-27
Просмотров: 111958
Download or listen online: https://mdundo.com/song/2161758
Performers: Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania
Producer: Verony Productions Ltd.
Copyright ©Verony Productions Ltd.
COMPOSER: G. Tesha
Maisha yangu
Maisha yangu ni Yesu Kristu (Bwana wangu)
Uhai wangu
Uhai wangu ni Yesu Kristu (Mwokozi) * 2
(Haya) Enyi wapenzi wa Bwana njoni mjiunge nami, tumsifu Bwana Mungu wetu
Enyi wapenzi wa Bwana wangu njoni pamoja nami, tumsifu Bwana Mungu wetu *2
1. Anajua kula yangu, anajua vaa yangu
Anajua niendapo, anajua nitendalo
Maisha yangu yamo mikononi mwake
2. Anajua mwanzo wangu, anajua mwisho wangu
Anajua nilalapo, anajua niamkapo
Tegemeo la maisha yangu ni Yesu
3. Ananipa kila kitu, ananipa na uhai
Yeye anikumbatia kama mwana wake mpenzi
Pumzi zangu zatoka kwake Bwana wangu
4. Upendo wake ajabu, huruma yake amini
Msamaha wake kwangu, daima ni wa milele
Ama kweli maisha yangu ni kwa Yesu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: