MBUNGE MSTAAFU ASHIRIKI SHEREHE YA IRMEGOLIKI KWENYE BOMA YA SAKAYA LASHAINE MONDULI.
Автор: OBAMA MEDIA
Загружено: 2025-10-21
Просмотров: 4649
Viongizi mbalimbali washirki sherehe ya kuzindua kisu cha kuingiza tohara kwa rika la vijana la Irmegololiki, Katika sherehe hiyo alihudhuria Mbunge aliye maliza muda wake Mhe. Fredrick Lowassa pmoja na Muwakilishi wa Mbunge mteule Ndg Denis Morndat wote wameshiriki sherehe hiyo katika Boma la mzee Sakaya leo tar. 21/10/2025.
Aidha Mhe Fredrick Lowassa amewakumbusha Wazee wa Lashaine, kwamba Kata hii ndiyo imejenga Mahusiano ya Ujirani mwema na Chuo cha Mafunzo ya kijeshi JWTZ, na ndiyo maana Mhe Rais ameendelea kulinda Malisho ya Wilaya ya monduli kwasababu ya Mahusiano hayo mema na kuwasisitiza watoke wote kwa Nguvu kujaza Kura za CCM tarehe 29 Oktoba.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: