344. Hukumu za Diyyah - Sheikh Abdul Majid
Автор: Imam Hussain Foundation
Загружено: 2018-02-14
Просмотров: 93
Diyyah ni malipo kama fidia kwa kuua au kujeruhi au kukata viungo.
Ni haki ya aliyedhulumiwa na watu wake.
Aliyedhulumiwa ana haki ya kuchukua diyya au akaamua kusamehe.
Hukumu za viwango vya diyyah.
Maana ya amdi na shibhi amdi.
Diyya ya mwanamume na mwanamke.
Hukumu za diyya ya kusababisha utoaji wa mimba.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: