Kizaazaa Kanisani Othaya: Gachagua aikosoa hatari ya tukio
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-25
Просмотров: 3887
Kizaazaa kilizuka na kutatiza ibada katika kanisa la ACK Witima, eneobunge la Othaya kaunti ya Nyeri ambako kinara wa DCP Rigathi Gachagua akikuwa akiabudu. Watu waliojihami na waliofunika nyuso walirusha risasi na vitoa machozi kuelekezwa kwenye kanisa hilo. Magari kadhaa yaliteketezwa na kuvunjwa kwenye fujo hili. Na kama Kamau Mwangi anavyoarifu, Gachagua amekosoa tukio hili akidai maisha yake yako hatarini
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: