WA LEO TU - HOODBOYZ Ft. MARK ACAIRASAN X TIPSY GEE (OFFICIAL VIDEO)
Автор: HOOD BOYZ
Загружено: Дата премьеры: 9 окт. 2024 г.
Просмотров: 65 489 просмотров
WA LEO TU - HOODBOYZ Ft. MARK ACAIRASAN X TIPSY GEE (OFFICIAL VIDEO)
Song written and performed by Hoodboyz featuring Mark Acairasan (Angry Panda) and Tipsy Gee.
Stream this song on: https://t.ly/yPfJv
Follow Hood Boyz on:
INSTAGRAM: / hoodboyz_ke
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@hoodboyzke?la...
Follow Mark Acairasan on:
INSTAGRAM: / mark_acairasan
TIKTOK: / markacairasan. .
YOUTUBE: / @angrypandaclan
Follow Tipsy Gee on:
INSTAGRAM: / tipsygee_
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@tipsygeemusic...
YOUTUBE: / @tipsygee
Audio produced, mixed and mastered by: / @theisimking32 and / @fromthehoodmusic
Visuals by Ricky Bekko: https://www.instagram.com/ricky_bekko...
Lyrics
Verse1:
Papa nyosto: I bagged this peng baddie wa kilimani
Vibe tuka click akaanza kunitamani
Vitu tulifanya dance floor akiyanani
Shawrrie ameshafall nishamvuta kejjani
Anabambika bile joh na party na dorime
Gizani ashanikatia kiuno ka mashine
asubuhi imefika anafaa kusafisha
Namwambia masaa mbaya ashaanza kukasirika
Chorus :
Na alikua wa leo tu leo leo tu
One night stand antaka kua main boo
Ananikatisia vile ananileta juu
Ashaanza kunifuria juu nadungiwa na maboo na alikua wa leo tu
Leo leo tu
One night stand antaka kua
Main boo
Ananikatisia vile ana nileta juu
Ashaanza kunifuria juu nadungiwa na maboo na alikua wa leo tu
Leo leo tu
Na alikua wa leo tu wa leo tu
Leo leo tu
Verse2:
Mark acairasan:Tulipatana kwa dance floor
Vile alikua anafanya ndo saa mavako(chuchuu)
Tequero teqero seniorita alikatisha io michakato
Kwanza anaona pombe vile imejaa kwa table
Marapapa titititi mbaka mangware
Tuko kasarani starehe ni za kwale
Ka wochi niko rada mbaka mangware
Kaa ukijua mihuchapa mbaka ilale
Verse3:
Tipsy gee:chupu chupu chuu karibu nimpige tuff
Na alikua waleo tu ashakataa nitoke juu kamum
na juu uko juu na back manyu uko na proof
Kumbuka jina ni tipsy mbona unaniita boo
Risky
Shawrrie ana fettish ya wasanii nilimkulisha the D
Saa anauliza if we can B we cant be we
Me kwanza napenda ma petite na vile unakwela bigi sorry we cant be
Chorus:
Na alikua wa leo tu leo leo tu
One night stand antaka kua main boo
Ananikatisia vile ananileta juu
Ashaanza kunifuria juu nadungiwa na maboo na alikua wa leo tu
Leo leo tu
One night stand antaka kua
Main boo
Ananikatisia vile ana nileta juu
Ashaanza kunifuria juu nadungiwa na maboo na alikua wa leo tu
Leo leo tu
Na alikua wa leo tu wa leo tu
Leo leo tu
Verse4:
Mana vevo:Shawrrie alikua mfine
Alikua mali safi no doubt
she’s a ten out a ten yani baddie
Lakini vako za kunijamia ndo sitaki
Msupa nilimbag kwa uyo chali uyo chargie
Siku dai vako zake juu nilijua joh ni ho.
Usini misintterprate aty ye joni homie
Aty eh ye ni homie
Usini usini usini usini yoh!
Verse5:
Fame stano:Alikua wa leo tu na vile ananinganga nia anatakua boo
Ashaanza za urazi ananiletea za uduu
Ananishika shika mahali hafai kudu
Uyu manzi wa udu
Amejipamba na maqualities
That shawrrie peng ting ni ka japannese chinnese
Amejipamba na maqualities
That shawrrie peng ting ni ka japannese chinnese
Chorus:
Na alikua wa leo tu leo leo tu
One night stand antaka kua main boo
Ananikatisia vile ananileta juu
Ashaanza kunifuria juu nadungiwa na maboo na alikua wa leo tu
Leo leo tu
One night stand antaka kua
Main boo
Ananikatisia vile ana nileta juu
Ashaanza kunifuria juu nadungiwa na maboo na alikua wa leo tu
Wa leo tu leo leo tu
All rights reserved.
From The Hood Music
2024
©
#waleotu #hoodboyz #tipsygee #papanyosto #manavevo #famestano #markacairasan #angrypanda

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: