VIWANJANI | Uchambuzi wa kina wiki ya moto, Simba, Azam, Yanga, Singida kuwasha moto
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-11-19
Просмотров: 996
Wachambuzi wa soka Rashid Hamis na Iddy Nonga wamechambua michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC), ambapo Yanga SC wao watakuwa New Aman Complex Visiwani Zanzibar wakiminyana mbavu dhidi ya AS FAR Rabat, huku kwa upande wa Simba SC watakipiga dhidi ya Petro Atletico kwenye dimba la Benjamin Mkapa.
Lakini pia wamechambua kwa kina kuhusu tuzo za CAF zinazotarajiwa kufanyika leo Novemba 19 na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD kuanzia saa 3:00 usiku.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: