MOSHI HAPATOSHI! ABIRIA WAFURIKA, USAFIRI MGUMU
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-12-23
Просмотров: 184
Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kuingia Sikukuu ya Krismasi, ITV Digital imezunguka katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Moshi, Ili kujionea hali ya usafiri katika mji huo ambayo imekuwa changamoto kubwa kufuatia ongezeko la wageni na wakazi wanaosafiri kwenda maeneo mbalimbali ya Mkoa huo kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka pamoja na familia zao.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: