Kilimo cha umwagiliaji kinavyomnufaisha Bw.Abraham mkaazi wa Simanjiro
Автор: Orkonerei Digital
Загружено: 2025-11-28
Просмотров: 61
Je, inawezekana kulima na kufanikiwa katika kipindi cha kiangazi na ukame mkali? Jibu ni NDIYO!
Katika video hii ya kusisimua, tunakutana na Bwana Abraham, mkulima mwenye bidii ambaye ameigeuza changamoto ya ukame kuwa fursa ya mafanikio kupitia Kilimo cha Umwagiliaji. Abraham anatuonyesha kwa vitendo jinsi alivyojenga mfumo wake wa umwagiliaji, unaomwezesha kulima mazao yenye tija na kuyauza sokoni kwa mwaka mzima, tofauti na wakulima wengi wanaotegemea mvua pekee.
Kilimo cha umwagiliaji si tu mbinu, bali ni msingi wa uhakika wa chakula, biashara, na uchumi imara!
Like, share na Subscribe kwenye YouTube channel yetu ya ORKONEREI DIGITAL kwa video zaidi za kuelimisha.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: