TBS yatoa elimu kwa wananchi katika kijiji cha Msomera, Tanga
Автор: TBS Viwango TV
Загружено: 2023-09-25
Просмотров: 552
Maafisa wa TBS wametoa elimu kwa wananchi na wafanyabiashara wa kijiji cha Msomera wilayani Handeni kuhusu umuhimu wa kusoma taarifa kwenye vifungashio vya bidhaa ikiwemo muda wa mwisho wa matumizi.Zoezi hili limeenda sanjari na ukaguzi wa kushtukiza kwenye maduka ili kubaini bidhaa zilizokwisha muda wake wa matumizi na kuziondoa sokoni.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: