Namna rahisi ya kutengeneza dawa ya asili ya kufukuza wadudu na kuimarisha mazao
Автор: Floresta Tanzania
Загружено: 2025-06-17
Просмотров: 4058
Karibu ujifunze hatua kwa hatua jinsi ya kuandaa dawa ya asili ya “Ash Brew” yenye ufanisi wa kufukuza wadudu waharibifu kama bito, wadudu mafuta na nzizi wa matunda ambao hushambulia mazao mbalimbali.
Mbali na kudhibiti wadudu, Ash Brew pia hutumika kama busta ya asili, kusaidia mazao kama maharage, mahindi na mazao mengine ya muda mfupi kukua kwa afya na nguvu zaidi.
🔹 Faida za Ash Brew:
✔️ Hulinda mimea dhidi ya wadudu waharibifu
✔️ Huongeza nguvu za mazao kustahimili mashambulizi
✔️ Ni suluhisho la asili, rafiki kwa mazingira
Tazama video hadi mwisho ujifunze jinsi ya kuandaa na kutumia dawa hii kwa usahihi!
#AshBrew #KilimoHai #DawaAsili #KilimoBora
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: