MKAPA: Hili ndilo swali ninaloulizwa mara kwa mara
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2018-11-13
Просмотров: 5825
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa ametimiza umri wa miaka 80.
Katika misa maalumu ya shukrani aliyoifanya katika Kanisa la Mtakatifu Immaculate Upanga jijini Dar es Salaam, amewashukuru Watanzania kwa kumwamini katika kipindi chote alichokuwa Rais.
Hatahivyo ameeleza kuwa amekuwa akisafiri sana kwenda nje ya nchi kwa shughuli mbalimbali siku za hivi karibuni, na kwamba kote huko ameuwa akiuliza kuhusu amani ya Tanzania.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: