MADEREVA KUTOKA NIT WAELEZA JINSI WALIVYONUFAIKA NA MAFUNZO YA UDEREVA YANAYOTOLEWA CHUONI HAPO
Автор: J FIVE TV ONLINE
Загружено: 2023-05-05
Просмотров: 12658
@JFIVETVONLINE
Wanafunzi wa udereva kutoka chuo Cha usafirishaji NIT kilichopo Mabibo Jijini Dar Es Salaam, wamefurahishwa na namna ambavyo chuo hicho kinatoa mafunzo yake huku wakionyesha uwezo mkubwa wa kuendesha magari wakati wa zoezi la mafunzo Kwa vitendo.
Naye mwalimu wa madereva hao, Mwl. Daniel Kasisi amesema kuwa chuo hicho kinapokea wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali zikiwemo nchi za nje kama Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: