KWANINI UNAHUSIANA NA MWENZI MNYANYASAJI? | Deo Sukambi
Автор: Deo Sukambi
Загружено: 2025-04-04
Просмотров: 530
Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
/ deosukambi
/ deosukambi
/ deosukambi1
Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
/ @deosukambi
Deo Sukambi is Counselor | Mentor | Public Speaker | Corporate trainer | Author
Kwanini unahusiana na mwenzi mnyanyasaji, Nini kinakufanya uvumilie mateso kwenye mahusiano, Je, unahisi unastahili kuumizwa kila siku, Kwanini unaendelea kubaki kwenye mazingira yanayokudhoofisha kihisia na kimwili, Unajua kuwa upendo wa kweli hauleti maumivu ya kudumu, Kwanini unashindwa kuondoka na kutafuta amani yako, Je, ni hofu au matumaini ya mabadiliko yanayokufanya usalie, Kumbuka kwamba thamani yako haipaswi kupunguzwa na unyanyasaji, Unastahili heshima, upendo na furaha kwenye mahusiano, Chukua hatua leo kwa ajili ya ustawi wako wa kihisia na kimwili.
#DeoSukambi #UponyajiWaFamilia
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: