Hukumu ya Kabila ni kilele cha uhasama baina yake na Tshisekedi? | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-10-01
Просмотров: 94726
Mahakama ya kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemhukumu kifo rais wa zamani Joseph Kabila kwa kosa la usaliti na uhalifu wa kivita. Kabila, mwenye umri wa miaka 54, alihukumiwa bila kuwepo mahakamani, baada ya kushtakiwa kuhusiana na kuunga mkono kundi la waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda. Je, upi ni mustakabali wa kiongozi huyo baada ya hukumu ya kifo? #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: