MAOMBEZI JUU YA ROHO YA UMASKINI KWA WATAKATIFU - PASTOR SUNBELLA KYANDO (DAY 3)
Автор: Reality of Christ Church
Загружено: 2021-10-14
Просмотров: 5621
Maombezi maalumu juu ya Roho ya Umasikini kwa Watakatifu ikiwa ni siku ya tatu ambayo tunahitimisha semina hii ya "ROHO YA UMASIKINI KWA WATAKATIFU".
Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando akiwa na Pastor Beatrice Mwilu wameongoza Maombi na Maombezi katika kila Roho inayoleta Umasikini kwa watakatifu, na tumeona mkono wa Mungu ukifanya kazi juu ya watu.
#Arusha #kaskazini #Mungukwanza
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: