Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

KESI YA KIFO CHA UTATA CHA MILEMBE WA GGM YAENDELEA, MASHAHIDI WAELEZA SIMU ZA MAREHEMU.....

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2024-04-09

Просмотров: 15822

Описание:

Mashahidi wa upande wa Jamhuri wameileza Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Geita namna simu za Marehemu Milembe Seleman aliyekua mfanyakazi wa Kampuni ya uchimbaji madini ya Dhahabu ya Geita(GGM) zilivyopatikana kwenye shimo la choo.
Kesi hiyo imeanza kusikilizwa Aprili 8,2024 mahakamani hapo kwa upande wa jamhuri kuanza kutoa ushahidi.
Milembe Seleman (43), aliyekuwa mfanyakazi wa kitengo cha ugavi katika kampuni ya GGML aliuawa Aprili 26, 2023 kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali mwilini, ikiwemo kichwani, usoni na mikononi mauji yaliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
Mashahidi hao ni shahidi wa pili, H4050 Koplo Philemon, anayefanya uchunguzi wa kisayansi wa makosa ya jinai na Noel Ngasa (41) mwenyekiti wa Mtaa wa Mwatulole.
Akiongozwa na mwendesha mashtaka, wakili wa Serikali, Merito Ukongoji, Koplo Philemon ameieleza Mahakama kuwa Mei 7, 2023 wakiwa na mshtakiwa wa tatu, Genja Deus Pastory walifika eneo la Mwatulole na mshtakiwa aliwaonyesha eneo la shimo la choo alikotumbukiza simu hizo.
Kwa upande wake, shahidi wa tatu, Ngasa amedai kuwa Mei 7, 2023 saa 2asubuhi alipokea simu kutoka kwa askari polisi waliomtaka kwenda eneo yalikotokea mauaji ya Milembe, kwa kuwa mtuhumiwa alikuwa anakwenda kuonyesha sehemu simu za marehemu ziliko.
Mbali na Genja, washtakiwa wengine katika kesi hiyo namba 39/2023 ni Dayfath Maunga Safari Labingo ,Musa Lubingo na Ceslia Macheni ambao wote kwa pamoja wanakabiliwa na shtaka la kumuua Milembe Seleman.

KESI YA KIFO CHA UTATA CHA MILEMBE WA GGM YAENDELEA, MASHAHIDI WAELEZA SIMU ZA MAREHEMU.....

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

SENGI MILEMBE - UTAMADUNI

SENGI MILEMBE - UTAMADUNI

EXCLUSIVE: Milionea Sumry hataki tena kusikia biashara ya Mabasi, katuonyesha alikojichimbia

EXCLUSIVE: Milionea Sumry hataki tena kusikia biashara ya Mabasi, katuonyesha alikojichimbia

MWILI WA MILEMBE ULIIVYOAGWA NYUMBANI | NDUGU WAZUNGUMZA KWA UCHUNGU

MWILI WA MILEMBE ULIIVYOAGWA NYUMBANI | NDUGU WAZUNGUMZA KWA UCHUNGU

DARK MASTER - Ngwea Alikufaje? | Waliohusika Kifo Cha Ngwea | Kinje Atajwa | - Part 3

DARK MASTER - Ngwea Alikufaje? | Waliohusika Kifo Cha Ngwea | Kinje Atajwa | - Part 3

MKE WA MAREHEMU AELEZEA KWA KINA KILICHOMKUTA MUME WAKE HADI KUPELEKEA KIFO

MKE WA MAREHEMU AELEZEA KWA KINA KILICHOMKUTA MUME WAKE HADI KUPELEKEA KIFO

MJENGO ULIOKUWA UKIJENGWA NA MILEMBE ALIYEUAWA KIKATILI, MAJIRANI WAFUNGUKA

MJENGO ULIOKUWA UKIJENGWA NA MILEMBE ALIYEUAWA KIKATILI, MAJIRANI WAFUNGUKA "ALIKUWA NA ROHO NZURI"

Kesi ya anayedaiwa kumuua mume wa ‘mchepuko’ wake yasikilizwa mahakamani

Kesi ya anayedaiwa kumuua mume wa ‘mchepuko’ wake yasikilizwa mahakamani

KIMEUMANAA: SAKATA LA MBUNGE MSUKUMA KUMPIGA MUWEKEZAJI MEYA MSTAAFU AIBUKA NA KUMCHONGEA AKAMATWE

KIMEUMANAA: SAKATA LA MBUNGE MSUKUMA KUMPIGA MUWEKEZAJI MEYA MSTAAFU AIBUKA NA KUMCHONGEA AKAMATWE

MWENYEKITI AUAWA KIKATILI NYUMBANI KWAKE, AKATWA MAPANGA MTOTO WAKE AKISHUHUDIA, MASHUHUDA WASIMULIA

MWENYEKITI AUAWA KIKATILI NYUMBANI KWAKE, AKATWA MAPANGA MTOTO WAKE AKISHUHUDIA, MASHUHUDA WASIMULIA

Ni Mwanamke Au Mwanaume?

Ni Mwanamke Au Mwanaume?

BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA

BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA

MWENYEKITI AKATWAKATWA MAPANGA HADI KUFARIKI AKIWA NYUMBANI KWAKE - WATOTO WAKE WASHUHUDIA...

MWENYEKITI AKATWAKATWA MAPANGA HADI KUFARIKI AKIWA NYUMBANI KWAKE - WATOTO WAKE WASHUHUDIA...

Fahamu muda sahihi wa mtuhumiwa kukamatwa na Polisi

Fahamu muda sahihi wa mtuhumiwa kukamatwa na Polisi

KILICHOJIFICHA Nyuma ya PAZIA / MAUAJI YA KIKATILI MBEYA, WATAALAMU, VIONGOZI WA DINI WAZUNGUMZA

KILICHOJIFICHA Nyuma ya PAZIA / MAUAJI YA KIKATILI MBEYA, WATAALAMU, VIONGOZI WA DINI WAZUNGUMZA

CCM YALAANI MAUAJI YA KIKATILI YA MWENYEKITI WA MTAA WILAYA YA GEITA

CCM YALAANI MAUAJI YA KIKATILI YA MWENYEKITI WA MTAA WILAYA YA GEITA

Taratibu za ufunguaji wa Kesi za MADAI na ngazi za Mahakama zinazohusika

Taratibu za ufunguaji wa Kesi za MADAI na ngazi za Mahakama zinazohusika

Vioja Mahakamani Street Boys

Vioja Mahakamani Street Boys

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

WADAU WATEMBELEA MGODI WA MADINI WA GEITA GOLD MINE (GGM)

WADAU WATEMBELEA MGODI WA MADINI WA GEITA GOLD MINE (GGM)

EXCLUSIVE: DAKTARI MREMBO ANAYEHUDUMIA MIREMBE, NDUGU WALIMSHANGAA

EXCLUSIVE: DAKTARI MREMBO ANAYEHUDUMIA MIREMBE, NDUGU WALIMSHANGAA "WAGONJWA WALIMPIGA, ALINIPAPASA"

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com