Forever in Our Hearts – Mama Modesta Tarimo
Автор: Bukobawadau Live
Загружено: 2025-11-16
Просмотров: 75
Hii ni simulizi ya Maisha ya Mama Modesta Tarimo, Mama mnyenyekevu aliyeweka familia yake mbele ya kila kitu. Upendo na kujitoa kwake vitabaki kuwa mwanga wa vizazi vijavyo.
Ibada ya Mazishi imefanyika Jana Jumamosi, Novemba 15, nyumbani kwake Kilimahewa, Bukoba. Tunaungana na familia, ndugu, jamaa na marafiki wote katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. Mungu awape faraja na nguvu katika msiba huu.*
“Bwana ametwaa, Bwana ametoa; Jina la Bwana lihimidiwe.” (Ayubu 1:21)
#MazishiMamaTarimo #BukobawadauLive #foreverinourhearts #BukobawadauMedia#NendaSalamaMama #gonebutneverforgotten
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: